Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

26 AGOSTI 2024

Hii leo jaridani tunamulika kupelekwa kwa chanjo dhidi ya polio huko Gaza; mkimbizi wa Burundi aliyerejea nyumbani kutoka Tanzania ainuliwa kiuchumi; makala ni mkimbizi wa Sudan aliyeko ugenini naye awezeshwa kijasiriamali na mashinani tunabisha hodi nchini Rwanda kumulika usawa wa kijinsia kweny

Sauti
9'43"

23 AGOSTI 2024

Hii leo jaridani mwenyeji wako ni Leah Mushi akimulika ripoti ya kuthibitishwa kwa mgonjwa wa polio huko Gaza; Tukio la uzinduzi wa mpango wa utoaji taarifa mapema kuhusu majanga; Makala ikimulika kazi za Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC na mashinani ikienda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,

Sauti
10'19"
Habari za UN

Chiriku hana hisani

Wiki hii katika kujifunza Kiswahili, mchambuzi wetu Dkt. Josephat Gitonga, kutoka nchini Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia maana ya methali “Chiriku hana hisani.” 

Audio Duration
1'11"