1971
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| ►
◄◄ |
◄ |
1967 |
1968 |
1969 |
1970 |
1971
| 1972
| 1973
| 1974
| 1975
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1971 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
- 26 Machi - Nchi ya Bangla Desh inatangaza uhuru wake kutoka Pakistan.
- 15 Agosti - Nchi ya Bahrain inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 25 Oktoba - Mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa uliamua ya kuwa Jamhuri ya Watu wa China ni mwakilishi halisi wa China kwenye UM, na Jamhuri ya China ilifukuzwa hivyo.
- 16 Desemba - Nchi ya Bangla Desh inashinda vita na kupata uhuru kutoka Pakistan.
Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 10 Januari - Theuns Jordaan, mwanamuziki kutoka Afrika Kusini
- 17 Februari - Denise Richards, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1 Machi - Allen Johnson, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Marekani
- 4 Juni - Joseph Kabila, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 5 Juni - Mark Wahlberg, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 16 Juni - Tupac Shakur, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 8 Septemba - Richie Spice, mwanamuziki kutoka Jamaika
- 17 Septemba - Ian Whyte, mwigizaji filamu kutoka Welisi
- 19 Septemba - Sanaa Lathan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 11 Oktoba - MC Lyte, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
- 26 Februari - Theodor Svedberg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1926)
- 5 Machi – Allan Nevins (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1933)
- 6 Aprili - Igor Stravinsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 12 Aprili - Igor Tamm (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958)
- 15 Juni - Wendell Stanley (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946)
- 18 Juni - Paul Karrer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1937
- 1 Julai - Lawrence Bragg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1915)
- 6 Julai - Louis Armstrong (mpuliza tarumbeta wa Jazz)
- 11 Septemba - Nikita Krushchov, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti 1953-64
- 20 Septemba - Giorgos Seferis (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1963)
- 21 Septemba - Bernardo Houssay (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1947)
- 29 Oktoba - Arne Tiselius (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1948)
- 9 Desemba - Ralph Bunche (mwanasiasa Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1950)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: