Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

UNODC

Madhila ya ugaidi mpaka lini?

Tarehe 21 ya mwezi Agosti kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Kuwakumbuka na Kuwaenzi Wathirika wa Ugaidi, Anold Kayanda anatupitisha katika moja ya shoroba za ndani ya makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani ambako zimewekwa picha za baadhi ya manusura na waathirika wa ugaidi zi

Sauti
3'38"

21 AGOSTI 2024

Hii leo ikiwa ni siku ya Kimataifa ya Kuwakumbuka na Kuwaenzi Wathirika wa Ugaidi msomaji wako Leah Mushi anakuletea ujumbe uliotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kuhusu haja ya kuwasikiliza na kujifunza kutoka kwa waaathirika wa ugaidi, pia utapata simulizi ya maonesho ya

Sauti
9'59"

20 AGOSTI 2024

Karibu kusikiliza jarida linalo letwa kwako na Anold Kayanda ambapo hii leo anakuletea mada kwa kina ambayo inamulika wahudumu wa kibinadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC hususan kile kinachosababisha waendelee kutekeleza jukumu hilo licha ya changamoto za kiusalama wanazopitia.&nb

Sauti
9'56"