Nenda kwa yaliyomo

César Milstein

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:06, 21 Julai 2020 na Kevin Matola (majadiliano | michango) (+image #WPWP WPWPTZ)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
César Milstein

César Milstein (8 Oktoba 192724 Machi 2002) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Argentina. Hasa alichunguza kinga za mwili dhidi ya virusi mbalimbali. Mwaka wa 1984, pamoja na Niels Jerne na Georges Köhler alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu César Milstein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.