Jaribio La Kiswahili 2020

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

JAMUHURI WA MUUNGANO WA TANZANI 13 Nilighafirika sana,ndio maana sikuh udhuria kwenye kikao.

Neno
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA. GHAFIRIKA lina maana gani?A.kudata B.kupenda C.kusahau D.kusikia
MAJARIBIO TOKA SEHEMU MBALIMBALI TANZANIA E.kuchukia.
JARIBIO LA VII DARASA LA SABA IJUMAA 6, MARCH-2020 14.Asha anafagia uwanja .sentensi hii ipo katika nafsi gani?A.ya kwanza
SOMO: KISWAHILI MUDA SAAB 1.30 B.ya tatu umoja C.ya pili wingi D.ya pili umoja E.ya kwanza wingi.
MAELEKEZO. 15.Nyumba anaishi mfalme hujulikana kama:A.tembe B.Ikulu C.kasri
1.Mtihani huu una sehemu A,B,C,D na E zenye jumla ya maswali 45. D.ghorofa E.nunge.
2.jibu maswali yote. 16.Neno ng'e lina silabi ngapi?A.moja B.tatu C.mbili D.nne E.tano.
3.zingatia usafi wa kazi yako. 17.Nomino inayotokana na kitenzi "cheza"ni:A.chezea B.mpira C.anacheza
4.Hauruhusiwi kuingia na majarida au vipeperushi vyenye maandishi. D.mchezo E.mipira
18."__________jumanne mchana tutaanza mtihani"A.itakuwa B.ilikuwa
SEHEMU A.SARUFI. C.ifikapo D.itakapofika E.ikifika.
1."Mwalimu alikuwa anafundisha darasani".Neno alikuwa ktk sentensi hii 19.Ushahidi ________kwamba Asha hakuwa na kosa ;_A.ulidhihirisha
ni aina gani ya kitenzi?.A.kitenzi kikuu B.kitenzi kisaidizi C.kitenzi jina B.ulisibitisha C.ulithibitisha D.ulizibitisha E.ulibainika.
D.kitenzi kishirikishi E.kitenzi tegemezi. 20.Daktari alitueleza _____sababu za kupata magonjwa ya
2._____kushirikiana ili tuweze kufanikiwa.A.tuna budi B.ni budi C.hatuna kuambukiza.A.wazi B.mahususi C.kinaganaga D.kifani E.maridhawa.
budi D.si budi E.sina budi.
3.Mkutano umeitishwa na mwenyekiti wa kijiji.sentensi hii ipo katika Kauli SEHEMU B.LUGHA YA KIFASIHI.
gani ?A.kutenda B.kutendwa C.kutendeka D.kutendewa E.kutendea. Soma kwa makini maswali kisha chagua herufi ya jibu sahihi.
4."Ukistaajabu ya musa utayaona ya Farao".Hii ni aina gani ya 21.Malizia methali hii "Kusifiwa siyo shani ,shani ni _______"A.kivuno
sentensi?A.shurutia B.sahili C.changamano D.ambatano E.tegemezi. B.bahari C.kupondwa D.kusemwa E.kushuhudia.
5.Ebo!Acha utani wako.Neno Ebo!ni aina gani ya neno?A.kiigizi B.kiingizi 22."Maji matulivu yana kina kirefu"nini maana ya nahau hii:A.bahari ni
C.kielezi D.kihisishi E.kivumishi. bahari B.ukimya ujinga C.usimdharau mtu mkimya D.ukiona maji
6.Mtu anayetengeneza heleni,bangili na mikufu hujulikana kama;A.mhunzi yametulia Jua Pana zama E.maji hayatulii.
B.mwashi C.dobi D.sonala E.sonara. 23.Tegua kitendawili hiki "kiangazi hulala ,masika hukesha"___A.samaki
7.Neno Lipi kati ya maneno yafuatayo halilandani na mengine?A.tembe B.mvua C.chura D.jua E.mwezi.
B.msonge C.mkaa D.manyata E.ghorofa. 24.Methali yenye maana sawa na Haba na hana hujaza kibaba ni ili?A.jiwe
8.Neno lipi kati ya maneno yafuatayo ni kisawe cha neno fuadi?A.fuata mojamoja huizenga nyumba B.chelewa Chelewachelewa utamkuta
B.tamati C.moyo D.mungu E.peleka mbele. maana si wako C.Asiye na mwana aeleke jiwe D.ngojangoja yaumiza
9.kuku dume ambaye bado hajaanza kuwika hujilikana matumbo E.polepole ndio mwendo.
kama______A.jogoo B.tetea C.koo D.beberu E.jimbi. 25.Timu ya yanga na simba zilitoka suluhu ktk mechi iliyopita .Maana ya
10.Neno lipi lipo katika angeli ya U_YA?A.ubao B.ufutio C.ukuta D.ugonjwa neno suluhu ni ipi?A.kupokezana B.kutoka nguvu sawa C.kutocheza
E.uzi. D.kushindwa vibaya E.kutokutokea uwanjani.
11.Nini sifa ya mzizi wa neno kati ya zifuatazo?A.haubadiliki B.unabadilika 26.Jamila alimkingia kifua mdogo wake kufuatia tuhuma zilizokuwa
C.unaweza kuchimbwa ardhini D.unahama hama E.unapelekwa mbele zimeenezwa juu yake maana ya nahau kumkingia kifua? A.kumkosoa
ya neno. B.kumdhihaki C.kumtetea D.kumcheka E.kumkemea.
12.Herufi hizi za kiswahili a ,e,i,o,u zinaitwaje?A.irabu B.vina C.silabi 27.Kamilisha kwa usahihi kitendawili hiki,Mtemi hafi________A.mende
. D.herufi E.konsonati. B.mchwa C.kifudifudi D.siafu E.chali.
28.Chifu wa kijiji cha mkalekawana ana ulimi wa upanga.Maana ya nahau SEHEMU D.UTUNGAJI.
ANA ULIMI WA UPANGA ni ipi?A.anapiga watu na upanga B.maneno Panga sentensi zifuatazo ili ziwe katika mtiririko wenye mantiki Kwa Kwa
yake yanachoma C.haongei na mtu yeyote D.ana maneno makali kuzipa herufi A,B,C na D.
E.mpole sana. 37.kwani huweza kusababisha mwili kupoteza maji Mengi na hata kufa.
29.Maua anaumwa sana,usiku hakupata hata________la usingizi.A.lepe 38.Ni vema kuhakikisha mgonjwa Wa aina hiyo anapatiwa maji ya kutosha.
B.tone C.punje D.kiasi.E kasi. 39.kutapika na kuharisha ni magonjwa yenye athari kubwa.
30.Neno lenye maana sawa na utajiri ni____A.bosi B.kibopa C.ukuta 40.Na hasa maji yenye mchanganyiko wa chumvi na sukari kwa ushauri wa
D.ukiritimba E.ukwasi. daktari.

SEHEMU C.USHAIRI. SEHEMU D.UFAHAMU.


Soma shairi lifuatalo kisha jibu maswali yanayofuata. Soma habari Kwa makini kisha jibu swali LA 41_45.
Nyumbani kwako kuzuri, hata pawe ni pangolini, Wenje ni kijiji ambacho wananchi wake wana nyakati za furaha na shibe na
Nyumba yako ni johari, ya mwenzako sitamani, hata za msiba na njaa.Ni katika jambo moja tu ambalo Wenje
Hata pawe kwa tajiri, hapafai maishani, inatofautiana na vijiji vingine humu nchini.Wenyeji wake si watu wa
Nyumbani kwako jihadi, kwingine usitamani. kujinaki ,wanajua kuwa "chema chajiuza kibaya chajitembeza" .Wanataka
Ni Bora uwe na kwako, hata pawe msituni, sifa yao ichomoze yenyewe.
Ukila wako ukoko , furaha sana Moyoni, Mara nyingi watu wa aina hii ni wale walio tayari Siku zote kutega masikio
Fuga na vijibwa koko, viishi kwako nyumbani, yao upande wowote ule kunakotoka taaluma.Mtu anayewafikia Kwa lengo
Nyumbani kwako johari, kwingine usitamani. la kuwafundisha humwita rafiki.Watoto Kwa wazee siku zote huenda
MASWALI. shule.Wanaume wanachukia kuwatabisha wake.Wanaamini usemi wa
31.Mwandishi wa shairi anatushauri kila mtu awe "Fuata nyuki ule asali" na kuwaandama walimu wa watoto na wanaosoma
na_________.A.johari B.pango C.nyumba D.nyumba nzuri E.msitu. madarasa ya kisomo cha watu wazima.
32.Mwandishi anasema kuwa:-A.kila mahali ni pazuri B.hata msituni ni Nchimbo na Mwalongo hawatembezi barua tena kuzitafutia mnukuu au
kuzuri C.mapango hayafai D.kwako ni kuzuri kuliko kwa mwenzako msomaji, watu kama Mwegeru na Sambili walikuwa na roho ngumu
E.kwako ni kuzuri kama mapango. wamebadilika. Kijiji cha Wenje kimepiga hatua ya kuamua kuishi kijamaa,
33.Shairi lina mizani----------A.2. B.8. C.16. D.32. E.4 kila uchao wanakwenda shuleni.
34.Kina cha kati cha shairi hili ni -------------A.ko B.ni C.ka D.ni E.ma. 41.Jambo ambalo wanakijiji wa Wenje wanatofautiana na vijiji vingine
35.ujumbe wa shairi hili unafanana na methali isemayo----A.Mwenda kwao nchini ni______________________
si mtoro B.mimi nyumba ya udongo sihimili vishindo. C.asiyesikia la 42.Katika habari uliyosoma sentensi "kila uchao"
mkuu huvunjika guu. D.mwenda pole hajikwai E.mtoto mkaidi hufaidi inamaanisha______________
siku ya idi. 43.Neno "kutawisha" kama lilivyotumika ktk habari uliyosoma maana yake
36.kichwa cha shairi hili kinafaa kiwe -----------A.umuhimu wa nyumbani. ni____________
B.kila mtu ana nyumba .C.kila mtu ana kwao. D.kupenda nyumbani 44.kisawe cha neno kujinaki ni_____________.
E.ujenzi wa nyumba nzuri 45.Kichwa cha habari uliyosoma hapo juu chafaa kuwa_____________

You might also like