Wajibu
Mandhari
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/d7/Teacher_In_an_Art_Class.jpg/220px-Teacher_In_an_Art_Class.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/44/Catari_us_scaffolding_piperack.jpg/220px-Catari_us_scaffolding_piperack.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/1f/Kenneth_Harris_8.jpg/220px-Kenneth_Harris_8.jpg)
Wajibu ni kazi au jambo fulani ambalo ni lazima ufanye au kutimiza.
Kila mtu ana wajibu wake, hata kama ni baba wa familia.
Mifano ya wajibu:
- wa mama:
- kumsaidia baba kazi
- kuwapa watoto upendo, kwani mama ndiye anayekaa na watoto kwa muda mwingi kuliko baba ila si mama tu
- kufanya kazi
- wa mtoto:
- kusoma kwa bidii
- kutii wazazi
- kufanya kazi za nyumbani n.k.
- kusoma kwa bidii
- wa mchungaji:
- kuhakikisha anaandaa mahubiri yake vizuri
- kuhakikisha anahubiri vizuri
- kuwatunza waumini wake na kuwaombea
- kutunza usafi wake na kanisa lake.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |