Dream Life Quotes

Quotes tagged as "dream-life" Showing 1-14 of 14
Enock Maregesi
“Kuna vita za aina mbili zinazopiganwa hapa duniani: vita ya maisha na vita ya dhambi. Unaweza kushinda vita ya maisha (maisha ya raha) lakini ukashindwa vita ya dhambi (maisha ya laana). Kushinda vita ya dhambi ni lazima umkaribishe Mwana wa Mungu Mfalme wa Amani, Yesu Kristo wa Nazareti Aliye Hai, kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako.”
Enock Maregesi

Israelmore Ayivor
“Be the player in your own dream life. Don't be a spectator watching your dreams every day; Let them get going!”
Israelmore Ayivor, The Great Hand Book of Quotes

Enock Maregesi
“Dunia ni uwanja wa vita wa vita ya dhambi ya vita ya maisha! Kuishi maisha ya kufikirika ni kushinda vita ya maisha ya vita ya dhambi. Vita ya dhambi ya vita ya maisha si vita ya kufikirika! Bila Yesu katika maisha yetu hakuna atakayeishinda.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Baada ya Adam na Hawa kutenda dhambi katika bustani ya Edeni, kila mtu anayezaliwa anazaliwa katika dhambi. Kwa hiyo dhambi hutokana na maisha, na maisha hutokana na dhambi.”
Enock Maregesi

Epictetus
“Don't ask for things to happen as you would like them to, but wish them to happen as they actually do, and you will be all right.”
Epictetus, How to Be Free: An Ancient Guide to the Stoic Life

Enock Maregesi
“Vita ya dhambi hupiganwa katika uwanja wa akili na katika uwanja wa mwili kati ya Shetani na Mungu. Hutumia silaha kuu ya uongo na silaha kuu ya ukweli. Mungu anataka tuujue ukweli. Shetani anataka tuujue uongo. Kushinda vita ya dhambi huna budi kutumia neno la Mungu, kama Yesu alivyolitumia kumshinda Shetani wakati akijaribiwa katika Mlima wa Majaribu wa Jangwa la Yuda.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Ni rahisi kushinda vita ya maisha na kuishi mbinguni duniani. Ni vigumu kushinda vita ya dhambi na kuishi mbinguni paradiso.”
Enock Maregesi

“We don’t owe each other sacrifice, we owe each other the promise of ecstasy.”
Lebo Grand

“Intimacy is the source of sensual awakening, true romance, and ecstasy.”
Lebo Grand

“Intimacy is the technique of the soul to discover a shared path to ecstasy.”
Lebo Grand

Brittany Burgunder
“Pay attention to yourself and your life. Make it what you want because the life you dream about isn’t going to fall into your lap. Go out and create it!”
Brittany Burgunder

“The supreme artist lives as closely as possible to replicating the perfect dream, with life unfolding in a manner that a person could never conceive or direct.”
Kilroy J. Oldster, Dead Toad Scrolls

Thomas Lloyd Qualls
“When you can unlock your dream life, your waking life will follow.”
Thomas Lloyd Qualls, Painted Oxen

“Sensuality is a state inside of me that holds the memory of the life I truly love.”
Lebo Grand