Kila Siku Quotes

Quotes tagged as "kila-siku" Showing 1-3 of 3
Enock Maregesi
“Ukitaka kuwa na mashabiki fanya kitu ambacho si cha kawaida katika maisha yako, kila siku.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Unaweza kuwa umeomba kuhusu jambo fulani kwa muda mrefu bila majibu, lakini siku moja ghafla ukajibiwa wakati umejisahau. Kwa nini? Kwa sababu Mungu hufanya kazi zake kwa siri. Ukiomba jambo kutoka kwa Mungu, huku ukiwa huna kinyongo na mtu yeyote na bila moyo wako kusita wakati ukiomba, tambua katika moyo wako kwamba tayari umeshajibiwa. Kisha lipotezee, hilo jambo, kila siku, usiwe unalikumbukakumbuka, hadi Mungu mwenyewe atakapokujibu. Hata Yesu atakaporudi kila mtu atakuwa amejisahau.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Baada ya kuomba, kila siku, huna haja tena ya kukumbuka uliloliomba. Mungu atakumbuka kwa niaba yako.”
Enock Maregesi